Moshie Chilwana birthday dinner

FB_IMG_1458230039995Mr and Mrs Chilwana. Wamependeza sana. Japo sina huwakika wameowana miaka mingapi lakini ukiwaangalia usoni unaona jinsi walivyo fanana kama ndugu vile. Kwenye upendo wa kweli hata sura uwonyeha! Mbarikiwe sana. FB_IMG_1458233847777Birthday girl akiangalia cake yake kwa furaha na sura ya shukran kwa Mungu na mumewe ? IMG_20160317_115929that nyama choma looks delicious ? FB_IMG_1458225310886Inapendeza kwakweli. Jamani kama couple hamkubahatika kufanya sherehe ya ndoa yenu au kama mliowana kienyeji / kimila basi vitu kama birthday au wedding anniversary ndio nafasi yenu ya kufurahia. Hii haimaanishi kuwa Mr and Mrs Chilwana hawakufanya sherehe ya ndoa hapa! Nimesema tuu kutoa mfano. FB_IMG_1458225315457Pendeza sana! Ukimpenda mtu kwa dhati uwezi ficha hisia zako kwani kila kitu kina kuwa naturally ? FB_IMG_1458233880721Happy birthday Moshie! Ubarikiwe sana. Na asante sana kwa ku share picha zako ?

Leave a Reply