kalamazoo wafurahia 4th of July!

20150704_175213Wanajumuiya ya Kalamazoo walijumuika pamoja siku ya jana kusherekea siku ya uhuru wa inchi ya Marekani (Indepence Day) au kama watu wengi wapendavyo kuiita 4th of July!

20150704_175301Kulikuwa na kula, kunywa. na kucheka kwingi!
20150704_175226Bibi mama Kagumba naye alikuwepo nasiĀ 20150704_175215watoto, vijana, kwa wakubwa wote walifurahi sana 20150704_175348Mtaalam wa BBQ akifanya mambo yake ni blogger Emmanuel Turuka wa Mungupamojanasi.com20150704_175338Mr and Mrs KagumbaĀ 20150704_181038Hata mimi nilikuwepo 😘 20150704_175345Hata Charles naye alikuwepo šŸ˜‰ 20150704_181835-1Mwalimu Ā Ngonyani was nice seeing you and your lovely family!Ā 20150704_17532620150704_181037-1Asanteni wapendwa wote nilifurahi kuwaona wote, Mbarikiwe sana and much love!

Leave a Reply