Kheri na furaha ya kutimiza miaka 7 ya ndoa baba na mama Gabby!

screenshot_2016-12-12-09-15-30-1Kheri na furaha ya kutimiza miaka saba (7th) ya ndoa yenu takatifu! Nawaombea upendo, amani, furaha, na mafanikio makubwa sana katika maisha yenu! Mungu akapate kuwa kiongozi na tegemezi lenu siku zote! Mbarikiwe sana!……….Yani leo ndio nimemuona baba Gabby na nimejua kwanini Emelda anamficha sijui niseme ?? such a good looking man na Dar wanga wengi ???……..Halafu wee Muhaya umeona wenzetu miaka SABA bado wako Honeymoon?! Sasa sisi hata mwaka haujaisha makelele mengi mpaka Clouds FM umefika ???  vibaya hivyo jamani ???

Happy 7th Wedding Anniversary Emelda ❤❤

Leave a Reply