Kheri ya kuzaliwa Mfalme Kiba!

screenshot_2016-11-29-23-30-55-1Almost missed it!! Kheri ya kuzaliwa Mfalme Ali Kiba. Nakutakia furaha na amani nyingi katika maisha yako. Ukapate kubarikiwa zaidi katika kazi zako. Happy birthday brother!

Leave a Reply