Kutoka Facebook

Screenshot_2016-04-02-07-41-18-1Leo kutoka Facebook nimependa hizi picha za mtani wangu! Katufanyia surprise ya mwaka?? yani huyu Muhaya kaenda nyumbani kwetu Utegi, Rorya, Mara akapiga na picha mbele ya nyumba yetu halafu akaja kuzirusha Facebook! Kweli wewe Muhaya kiboko!!!  Au ndo una nyemelea ‘makaratasi’ ya Utegi??FB_IMG_1459601128979-1Mtani asante sana kwa kufika nyumbani kwetu. That place is so dear to my heart! That is where I call it home! Hapo ndipo nyumbani my friend huko mjini mie nimeenda kufanya shopping tu kidogo nitarudi ?? ubarikiwe sanaaaaaa mpaka ushangae ?

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

Leave a Reply