Kutoka Facebook

FB_IMG_1469659269564Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwie radhi! Ninamambo mengi nimebanwa hivyo muda unakuwa hautoshi ndio maana inaweza pita siku sija blog. Silipwi na mtu kublog nafanya kwa hiyari yangu hivyo nipale tu ninapopata muda wa ziada ndipo ninapoweza ku blog!……………Kwasababu hiyo kuanzia leo katika kile kipengele cha “Kutoka Facebook” nitakuwa nawaletea picha zaidi ya moja kufidia siku ambazo sitakuwa na blog!……… Haya leo nimezipenda hiziFB_IMG_1471977632405Foster (Bongoland), kapendeza sana na top yake ya kitenge…..love the colors
FB_IMG_1471974913839Fina (Australia), kapendeza sana na B&W suit, pia nimependa sana kiatu chake
FB_IMG_1471974792454Hawa (Queens land a.k.a UK) nimependa sana muonekano wake na pozi la kujiamini….nice!

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

Leave a Reply