Mother and daughter moment

Screenshot_2015-12-21-15-34-17-1Nimependa sana hii picha ya Linda a.k.a Kichuna Cha Kizaramo ? na binti yake Leyla! Hapa walikuwa katika maandalizi ya kupiga picha za 2015 LB Winter collection. Wamependeza sana. Screenshot_2015-12-19-19-16-36-1Tafadhali naomba uwafollow kwenye IG kwa majina haya LB_fans page, designer_LB, au ukitaka kununua / kuagiza nguo watembelee hapa. www.lindabezuidenhout.com

Asanteni wote»

Leave a Reply