Mother and sons moment

2015-09-24 23.09.26Nimependa sana hii picha ya  jeshi la mutu 3 na mama yao halafu kwa nyuma pale chief commander  (baba yao) anawarekodi. Hapa walikuwa kanisani wakiimba kama ilivyo kawaida yao.  Wenzetu wanasema game kuwa familia inayo Sali na kuomba pamoja siku zote hushikamana. Mbarikiwe sana mama na baba watatu pamoja na watoto wenu wote.

Leave a Reply