Hot shot of the day

2015-09-24 23.05.54Wow! Nimependaje hizi picha za dada yetu kipenzi ShyRose Bhanji akiogelea huko visiwa vya Zanzibar! Nivizuri kupumzisha akili na mwili baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu.  Hii nikukusaidia kuwa na afya njema na kuishi maisha marefu.  2015-09-24 23.04.14Jamani mie naona hata aibu kusema kuwa SIJUI KUOGELEA ??? nimeshaimba kujifunza siku na miaka inakatika tuu ??? lakini bado nina nia hivyo najua ipo siku nitaingia darasani ??? 2015-09-24 23.04.58Miguu ya wanawake wa “kanda ya ziwa” utaijua tuu mizurijee?! ???

One thought on “Hot shot of the day”

Leave a Reply