Birthday wishes

FB_IMG_1443159367628Kheri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu Prisca. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, akupe afya njema, maisha mazuri na bora.  FB_IMG_1443159537201Hapa Prisca alikuwa ametoka Geita anapo ishi kuja kunisalimia mimi rafiki yake. Prisca tulisoma wote Kowak Girls Secondary school.  Urafiki wetu ulianzia shule na mpaka leo hii umedumu. Asante sana Prisca. FB_IMG_1443159576701Hapa ni Halima, Prisca na mimi, unaweza ku-imagine story za mashosti ambao hawajaonana kwa muda mrefu  wote ni waanzilishi / wanafunzi wa kwanza kabisa wa Kowak Girls Secondary school………Happy birthday Prisca, ubarikiwe sana.

One thought on “Birthday wishes”

Leave a Reply