Muacheni Mungu aitwe Mungu!

I am over the moon about this! Yule Shemeji yetu ambaye walimwita mission town (SomaHapa)  mume halali wa Zamaradi Mketema ndio anafanya hii miujiza eeh?! Hata miezi SITA haijafika mibaraka imeshaanza kumwagika namna hii!! Ndoa zilizo chagulia na Mungu utazijua tu, wengine miaka kumi lakini bado wanaangaika na pesa ya kulipa rent ???? Kweli muacheni Mungu aitwe Mungu!!! Mume / Mke mwema mtu upewa na Bwana hatokani na vyeti vya degree ulizo nazo au umaharufu wako!!!…….. Mungu aendele kumimina  baraka zako katika hii familia katika jina la Yesu ?? Kama unataka kuifaidi video ya “kaSmall White House” ketu nenda kwa Instagram page yake please!  

Regrann from @zamaradimketema –

In love with my kasmall White House

Things in Progress

Swimming Pool
Little Playground for Shubi and JuhJuh.
Basketball Court for my Darling Husband (Half Court)
and of course Garden to spice up mazingira.. I love Space ?

Asante MUNGU
#mamamwenyenyumba – #regrann

Leave a Reply