“Mwanaume ambaye hawaheshimu Wazazi wake jua hatakuheshimu wewe kama mke wake na hatawaheshimu Wazazi wako pia”

Regrann from @lemutuz_superbrand - FACT: To you all my dear Sisters.......Mwanaume ambaye hawaheshimu Wazazi wake jua hatakuheshimu wewe kama mke wake na hatawaheshimu Wazazi wako pia ....Mwanaume asiyejua kuheshimu Traffic Signs anapoendesha gari lake barabarani ujue hatakuheshimu hata wewe...yaani Mwanaume asiyejua Stop Sign...asiyejua Red Light....asiyejua Zebra yaani kusubiri watembea kwa miguu wapite .....atakufanyia hayo hayo kwenye Ndoa au Relationship ....Ukiumwa hatasubiri upone ataku Cheat ...Ukisafiri kikazi hatasubiri urudi ataku Cheat! ..Ukifiwa ukaenda Msibani hatakusubiri urudi ataku Cheat tu! ....Kama Mwanaume wako anagombana sana na madereva wengine barabarani ujue ATAKUDUNDA TU kama Mpenzi au mke wake ....kama anakaripia karipia watu kwenye simu ujue atakukaripia na wewe ....I mean kama vipi MUWACHE CAUSE ATAKUSUMBUA MBELE YA SAFARIĀ I mean ni Ushauri wangu wa bure Uchukue au Niachie ...ila usije kulia lia kuwa hukujua au hukuambiwa! - @lemutuz_superbrand - #regrann

Leave a Reply