OCTOBER birthday wishes!

Jamani wapendwa naomba mnisamehe ratiba ziligoma kidogo hivyo ilikuwa ngumu ku-blog. Na kwasababu hiyo nimeshindwa kuwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwa ndungu, jamaa, na marafiki ambao wamezaliwa tarehe hizi za mwanzo wa  mwezi October. Hivyo basi naomba nichukuwe nafasi hii kuwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote ambao wamezaliwa mwezi huu. Nawaombea maisha marefu yalio jaa upendo, amani, furaha, na afya njema. Mbarikiwe wote.  FB_IMG_1443975370174

Happy belated birthday Lucy  FB_IMG_1443975320644Happy belated birthday da Rozalia na wengine wote walio zaliwa mwezi huu.

3 thoughts on “OCTOBER birthday wishes!”

Leave a Reply