Very Proud of My Nyamisi!

Nyamisi siku ya JumaMosi wakati wa Sabato aliimba wimbo wa kwanza kufungua ibada ya watoto. Hongera sana Nyamisi, Mungu akuongoze kipaji chako kikapate kukuwa ukamtukuze, ukamsifu, na kumuinua Mungu hapa duniani na Mbinguni . Very proud of you my gal!

Nyamisi pamoja na kuzaliwa na kulelewa nchi za Ulaya lakini anaweza kuongea, kusoma, na kuimba kwa Kiswahili bila shida yoyote ile. Nahapo bado anaongea English na Ki-Dutch bila tatizo! Such a talented young girl! Mungu amlinde na mapepo yooote ya hii dunia. 2015-09-27 19.54.35-1Nyamisi  pia anajua kupiga guitar alijifunza toka akiwa mdogo. Halafu ni lefthand this gal is genius! Go! Nyamisi Go! Aunt Alpha is very proud of you ??

Leave a Reply