Sasha Obama akibeba “box”

Sasha Obama akifanya kibarua chake wakati huu wa Summer break. Pamoja yakuwa yeye ni mtoto wa Rais lakini hajaona shida au haya kuwa na kibarua kwani anataka ku experience maisha kama watoto wengine wa umri wake wanavyo ishi hapa Marekani japo yeye hana shida ya pesa kama wengi. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa haswa kwa watoto wa matajiri…………..Mwaka juzi dada yake Maria, alifanya kazi na baadhi ya ma producer fulani kama kibarua chake cha Summer kwani yeye anapenda kuwa Actress………….anyway, Sasha anaweka historia ya kuwa mtoto wa kwanza wa Rais wa Marekani kufanya kibarua kwenye mgahawa!…………..beautiful! FB_IMG_1470772160639

Leave a Reply