The Lyimos

FB_IMG_1459651330953Familia ya Lyimo katika mapumziko nchini Canada. Jamani kazi na dawa eeh! Si mmeona hata Dr. Magufuli kaenda vacation Chato ?? ndio maana yake! Mtu ukisha fanya kazi sana sharti upumzishe mwili na akili. Pia ndo muda muafa wa ku spend quality time na familia. Mjifunze jamani kutoka kwa wenzenu, family is everything! IMG_20160402_214735Hapana chezea musichana toka kanda ya ziwa wee! Kitu kutoka Majita hiki ? when mama is happy, family is happy too! Always make sure mama yupo happy in the house! #MkeMwema #MamaMwema ubarikiwe milele zote ? IMG_20160402_214559Prince Amani na wazazi wake. Safi sana. IMG_20160402_214823Nice family. Mfano nzuri sana wa kuigwa haswa familia hizi za ‘majuu’ ambapo naona wakaka wengi wa Kibongo hawajui what does it mean to be a family man and does it take to be one!! ?? IMG_20160402_214645Pendeza sana kaka na dada. Mbarikiwe sana  IMG_20160402_214440The girls themselves! Pendeza sana mama na mwana. Mnafanana hadi mapozi FB_IMG_1459651330953Asante sana familia ya Lyimo. Enjoy your vacation, na mrudi nyumbani salama. Mbarikiwe sana 

Leave a Reply