Twende tumlaki Bwana!

FB_IMG_1435768341084Wapendwa hili ni tukio la kuto kukosa haswa kwa wakazi wa Dar! Kanisa la Temeke Seventh Day Adventist linakuletea uwimbaji mkuu wa Live recording ya video yao itakayo julikana kwa jina la Nipe Neno!

2015-07-01 14.03.10Siku ya Juma Pili tarehe 5 mwezi huu. Tukio hili la kusisimu na kukupa nguvu mpya litafanyika katika viwanja vya kanisa hilo lililopo bara bara ya CHANG’OMBE linatizamana kabisa na kituo cha polisi cha Chang’ombe Usalama2015-05-13 23.35.18

Tukio hili la uwimbaji litaanza saa saba mchana (1:00 pm) na mgeni rasmi atakuwa si mwingine bali ni Mwenyekiti na Mkurugenzi mkuu wa Utegi Technical Enterprises (T) Ltd mzee Otieno Igogo! FB_IMG_1435768351313Hakuna kiingilio wote mnakaribishwa. Mbarikiwe sana.

Leave a Reply