U.S.A Green Card Lottery: Jaribu bahati yako!

USA_GreenCard_HeadHaya kwa wale wanaotaka kujaribu bahati zao za kupata Green Card ya Marekani na hatimaye kuwa raiya wa Marekani basi huu ndio wakati wako. Ni msimu wa lottery ambao unakujia kila mwaka (kama hawajabadilisha) mwezi kama huu.  Unaweza cheza kila mwaka mpaka siku utakapo shinda. Kama unapenda basi ingia kwa mtandao wao kwa kuponyeza ‘hapa‘ au copy link hiyo hapo ?? chini

http://www.travel.state.gov/content/visas/en/immigrate/diversity-visa/instructions.html USA_GreenCard_Head

Naomba ieleweke yakuwa mimi Alpha sihusiki na kitu chochote kuhusu hii lottery. Nimefurahi share tuu hii link kwa watakaopenda kujaribu. Lakini kama unaswali kuhusu jinsi ya kujiandikisha tafadhali sana naomba uwasiliane nao kwa njia ambayo wameeleza kwenye mtandao / tovuti yao! ?KILA LA KHERI!?

Leave a Reply