Wazazi! wazazi! Wazazi!

screenshot_2016-09-20-14-23-36-1Wazazi! Kuweni karibu na watoto wenu ili wawe huru kuwaelezea kitu chochote kile! Tukio hili limetokea U.S.A lakini linaweza tokea sehemu yoyote ile hapa duniani! Usiamini mtu baki na mtoto wako hata awe na elimu au pesa kiasi gani!…….. Hii siyo mara ya kwanza kutokea kwa tukio kama hili hapa U.S.A. hata mwaka jana lilitokea kama hili soma ? #Wazazi! ……… Mungu awape hekima wazazi wote ili waweze lea watoto wao kwa busara, hekima, na upendo. Napia awalinde watoto wote!

Leave a Reply