My weight loss journey…….!

Hello my people! Sijasahau nilikuwa kwanza nafurahia the moment by myself kabla ya ku-share nanyi ? Mwili umeanza kuitikia wito; 5 pounds down ??  Nariganje sasa! Utafikiri nineshusha 20 pounds ? Haki vile najisikia raha sana acheni tu nifurahie hata kwa hizo pounds 5 zilizo toka kwani safari ya miles maelfu miamoja zote huwanzia na ziro, moja, kabla ya kufika huko juu! Kitu muhimu ni kuthubutu, na namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu ya kuthubutu! 

Yani hapo nikifanikiwa kuliondoa hilo tumbo aaaaaah! Mbona itakuwa shida aaaaaah ??  Sasa siri yangu mpya, ili kuondoa hicho kitambi nimenunua  hii  ☝”Simply fit board” ngoja niitumie wiki hii yote nione kama itanisaidia zaidi. Yenyewe nitakuwa natumia ndani muda wowote…….. Haya muwe na JumaPili njema!

2 thoughts on “My weight loss journey…….!”

  1. Hongera Sana my Wii,hiyo ya tumbo nami ningependa niwe nayo maana naulizwa kuwa Mdogo wake Gaby huyo maana kitambi Kama mjamzito lol!nimekichoka ila kula siwezi acha mpendwa.

Leave a Reply