Wifi karibu nyumbani

FB_IMG_1452185001627???? Wifi ii twende nyumbani ii ×2 hapa ndipo nyumbani kwetu karibu mama,  karibu kipenzi chetu karibu mama???…………….#MwanamkeMiguu ??

Hongera sanaaaaaa mdogo wangu William Igogo kwa kumvisha pete ya uchumba my soon to be sister-in law Celina FB_IMG_1452184998620Awii! Mzurijee sasa! Wapendwa naomba niwatambulishe my soon to be sister-in law. Mungu akipenda mwezi June /2016 tutaingia ndani ya mkowa wa Tanga na kumchukua wifi yetu! Atakuwa mmoja ya familia yetu ya mzee Otty Igogo ! Huyu atakuwa wifi yetu wa 3 sasa. Naona mdogo wangu safari hii katupeleka Tanga kwa mzee “Yussuf Makamba” awii! Can’t wait for the day! Karibu sana wifi yangu na ujisikie upo  Tanga ??? ……

5 thoughts on “Wifi karibu nyumbani”

Leave a Reply