Zari Hassan: Next time someone tells you you can’t, look them in the eye and tell them you can

Regrann from @zarithebosslady  -  Next time "someone tells you you can't, look them in the eye and tell them you can? ? @bless_dollar cc @slidevisuals #SoftCareDiaper Brand Ambassador" Hayo ndio maneno yake Zari the Bosslady yakiambatana na picha ☝ huko kwa Instagram page yake. Maneno mazuri sana kumwambia mtu ambaye alitegemea au  alitamania kukuona ukiwa chini unalia muda wote na kuwa hautaweza kufuta machozi na kuwatazama tena machoni! Zari is such a fighter! Unbelievable! Inaelekea Zari alikuja Bongoland ki business zaidi. Aliingia Bongoland kwa style ya kimya kimya na kuondoka kimya kimya  isipokuwa wale wanao safiri kwa kupitia mlango wa VIP na business lounge ndio walio bahatika kumuona.  Hiyo siyo style yake ambayo watu tumezoa kumuona akiingia nayo Bongoland lakini mimi binafsi nimeipenda sana! It sends a bold statement but in a classy way! Regrann from @hoycetemu  -  Scoop with @zarithebosslady coming soon @miminatanzania  - #regrann   Naam! Hayo ni maneno yake Malkia wa nguvu, mama wa Mimi na Tanzania Hoyce Temu pale alipokutana na BossLady kwenye VIP / business lounge ya JKN International airport. Tunaisubiria hiyo interview kwa hamu sana, simnajua hawa siyo wanamake wa spoti spoti eeh ?  Regrann from @hoycetemu  -  Chum chum @zarithebosslady for @princess_tiffah ?. Bibie amekaribishwa SA kumeet with Tiffah basi tafran tupu. ?? ??  - #regrann  aah! Rubby naye  alikuwepo ??. Jamani huko kwa Madiba mnaalikana wenyewe tu? Haya basi karibuni Houston ?  Wakati the so called "celebrities" wa Bongoland wako busy kugombania wanaume na kutafuta kiki zisizo na kichwa wala miguu mwenzao Zari yupo busy ku sign mikataba ya pesa  mbele ya macho yao ?? Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake! Oops! Nimesahau wao huwa wanavaa mawigi ??  Haya wale wenye Masters sijui ya vyuo gani vile  ?? mnamuona mama Tee?! Indeed, success is the best revenge ?? Hongera Bosslady. ?❤
 

 

Leave a Reply