Birthday wishes

FB_IMG_1436709183500Happy birthday to my childhood friend, primary and secondary school classmate! Naomba leo nikushukuru rasmi kwa sababu ni siku yako special. Nasema asante sana kwa kujitolea kuwa mtu wa kwanza kabisa kutoa mchango wako kwa hii blog. Ulitowa dondoo 10 muhimu kwa wazazi kuzingatia kwa watoto wao…FB_IMG_1436709169225Nasema Asante sana kwa moyo wako. Ni wachache wenye moyo wa kujitolea kama wako.  Katika siku hii yako muhimu naomba Mungu azidi kukubariki sana. Akupe furaha kama lilivyo jina lako  🙂 amani, upendo, na afya njema! Happy birthday girlfriend!

One thought on “Birthday wishes”

  1. Howdy very nice site!!.. Excellent .. Superb ..
    I’ll bookmark your site…..thanks for sharing.

Leave a Reply