Birthday wishes

IMG-20150918-WA0014Napenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Charles Manongi.  Mungu azidi kukubariki, uwe na afya njema, maisha marefu yenye amani na furaha nyingi.  FB_IMG_1442852713148 Charles yeye ni mdogo wake na kaka yangu kipenzi Noah Manongi. Ni mtoto wa mwisho kwa familia ya mzee Manongi……….Happy birthday Charles, be blessed!

2 thoughts on “Birthday wishes”

Leave a Reply