Category Archives: Inspirational stories

Better late than never!……Hongera sana Diamond!

 Japo karibia wiki inafika tangu ushindi huu upatikane -AFRIMMA 2017 Best Male East Africa hakuna ubaya kwa mimi kutoa pongezi kwa kuchelewa kwani wenzetu wanasema “better late than never”!……..Hongera sana Diamond hakika umeitangaza?? Tanzania katika nafasi ya kipekee sana. Ubarikiwe zaidi ya hapa! We are all proud of you the former ” Tandale” boy!  #Viva Diamond #Viva Wasafi ??

Flaviana Matata: The truth is that we can only unleash the power of young girls through access to quality and safe education.

“Today is #InternationalDayOfTheGirl and the focus is on the power of adolescent girl. The truth is that we can only unleash the power of young girls through access to quality and safe education. I am here with one of our scholars Nyamizi who is in her last year of high school. Young girls like Nyamizi have the potential to be scientists, teachers, farmers, artists, mothers, but that is only possible if they are provided with a conducive environment to thrive. @flavianamatatafoundation strongly believes that an educated girl will be a better mother that will nurture and raise her children to be better citizens. Educating a girl is a smart investment because it’s an investment into the prosperity of communities and nations. #FlavianaMatata”

Ridhiwani Kikwete: #sikuyamtotowakike; Huyu ni Binti yangu. Furaha yangu Ukamilika ninapomuona amefurahi

“#sikuyamtotowakike Huyu ni Binti yangu. Furaha yangu Ukamilika ninapomuona amefurahi. Namuona Mama,Namuona Mlezi, Najiona Mimi , Ninaiona Tanzania. Nakupenda sana Mwanangu.”~~~~~~ Mbunge. Ridhiwani Kikwete

Idriss Sultan: Unaweza ukawa loyal lakini usiwe blind!

Hii interview naona ilinipita ndio nimeiona leo!

Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Idriss Sultan kwa kupata mkataba mzuri wa kuigiza nchini Marekani. Nakutakia mafanikio mema najua utatutoa kimaso maso!.......Unajua mimi nilionaga zile picha za jeshini nikajua kuwa ni mambo yako ya comedy! Kumbe ulienda JKT ??

TRUST: Interview yako nimeipenda sana. Hasa somo la kuwa "Loyal but not blind"!! Nafikiri wengi inatuchukua muda kuelewa hilo mpaka yatakapo kutokea zaidi ya mara moja ndio somo linaanza kuingia. Mimi nasema ukiona rafiki yako hapendi maendeleo ya wengine kaa naye mbali! Ukiona rafiki yako haguswi na upotevu au huaribifu wa mali zako au pesa zako hata kama ni Shilingi moja  achana naye kabisa! Ukiona rafiki ambaye siku zote anataka utumie njia ambayo itakughalimu zaidi achana naye! Ukiona rafiki yako ni rafiki wa karibu sana na watu wanaopinga maendeleo yako (mwenye tabia ya kuuma na kupuliza) muogope huyo rafiki! Ukiona rafiki ambaye pesa ni muhimu kwake kuliko UTU mkimbie haraka sana! Watu wanamna hiyo siku zote siyo waungwana, na wala hawana utu! BE LOYAL BUT NOT BLIND!! Somo zuri sana! BETRAYAL: Asikudanye mtu, betrayal hurts! Inauma sana kwani betrayal involves emotions which are your feelings! Hisia zako ndizo zinakufanya wewe jinsi ulivyo, hivyo mtu anapo kugeuka kwa kusudi la kukuangamiza au kusudi lolote haina tofauti na mtu anayekuchoma kisu bila ganzi! Ndio maana wenzetu wanasema "you stab me in my back"........ Naona wewe upo kama mimi ni ngumu sana kwangu kuwa na rafiki ambaye ameni betray! Don't get me wrong, nitakusamehe, tutasalimiana tukionana, hata kucheka naweza cheka nawe lakini urafiki na wewe ni MWIKO!  "When people show you who they are believe them" ~~~ Maya Angelou

KUTHUBUTU: Pole sana kwa changamoto ulizo pitia, na pia hongera sana kwa kuto kukata tamaa. Naamini wengi tutajifunza kutoka kwako japo wengine tu wakubwa zako. Maisha ni somo endelefu ambalo unaweza lipata toka kwa mtu yoyote bila kujali umri! You have inspired me!

WEMA: Masikini, ninesikitika sana kumbe Wema alikuwa mjamzito? Tena twins!! Dah! Pole yake sana. Mungu atampa wengine muda ukifika. Nimependa the way you talk about her you didn't trash her at all! 

LIFESTYLE: Jamani wanawake 30÷÷ eeh! Hivi huu UKIMWI unachagua ama?! Gosh!! What about magonjwa yazinaa yasiotibika hamyaogopi?! I hope you will well behave huko Hollywood maana huko ndiko kuna jehanam ya magonjwa ya zinaa!! ...........Otherwise, Congratulations! 

 

Hongera sana Zamaradi Mketema!

 Alhamdulillah! Alhamdulillah! Alhamdulillah! Ndoa yenu idumu milele zote! Furaha amani na baraka zote za Mwenyezi Mungu zifuatane nanyi! Ubarikiwe uzao wenu vizazi na vizazi! Alhamdulillah! Though bado nashangaa what happened from ?? “Umeniweza, Nimekuweza, Tumewezana” to the New “Sheriff” in town? What a difference 4 months can make!!Mkague mpenzi, kwa raha zako bibi! Hujaiba ni wako, privately owned by You! I mean you only siyo kama yule “shirika la UMMA”  Ugawaji, linagawa chakula kila mtaa ???…………… Hongera sana!

“good things come to those who hustle” ~~~~~ Major General

 “Last thursday of the month, not sure what motivation is needed but I know i gotta put the past behind me and focus on the future…. good things come to those who hustle #WorkMode”~~~~Zari. a.k.a  Major General

Embu leo tumsikilize Yvonne Chaka Chaka!

Kumbe jina lake halisi ni Yvonne Machaka! Hilo Yvonne Chaka Chaka ni jina la kiusanii tu (stage name)!……. Embu msikilize anavyoelezea alipotokea kimuziki,  walivyo baguliwa kwasababu ni weusi, na jinsi baba yake alivyokuwa baba mwema anayejali familia yake!……super nice! Halafu nimekwenda kwa Instagram page yake nikakuta masaa 11 yaliyopita aliweka picha hii ambayo ni layout yakwakwe na Jokate na hayo maneno alioandika just melted my heart! What a super humble lady!

Happy birthday mama Salome!

Nyumba aliyokuwa anaishi mama Salome na watoto wake
"Maisha ya kila mwanadamu yana historia yake. Ndugu zangu ebu niwape history fupi wapi nimetoka ?. Hapo ndipo alipokua anaishi Mama yetu. This is our House?Jamani msinichukulie poa, sijakulia chips kuku mimi wala sausage ??. Vitu hivi nimekuja kuvijulia ukubwani; so when I say let me enjoy my life, let me enjoy bwana kwasababu I really deserve it. Niko proud na tulipotoka ? na tulipo sasa, mimi ni mtoto wa kwanza katika family ya watoto wanne and my Mom ni Nurse. Sasa why huyu Mama ananitoa machozi?? niko proud nae sana tena sana. Huyu Mama ni mwanamke muhimu sana katika maisha siachi kusema Mungu mpe maisha marefu Mama yangu maana pamoja na hali yake hii amehakikisha wote sisi tumeenda shule?alipambana na kila kitu ili sisi tukue.?? Dah! nashindwa hata kuandika ?....... Sasa basi Leo ni Birthday ya Mama yangu. Katika maisha yangu ya kawaida hii hali ya maisha yetu ilinisukuma sanaa tena sanaa mimi kufanya kazi kwa bidii maana nilijua mimi Ndio mkubwa nina wadogo zangu nyuma, kila siku nikawa napiga goti na kumwambia Mungu nisaidie nisikate tamaa katika biashara zangu. Nilitembeza nguo barabarani nilipita kila kona bila kuona aibu wala kujali nani ananicheka kumbe najua nini nafanya na nini nataka! Kuna vitu vingi nilitamani na nilikua na-dream navyo lakini kikubwa nilitamani na kumuomba Mungu amuweke mama yangu mpaka siku moja aje afurahi na kucheka katika maisha yake yote yaliyobaki mpaka anaingia kaburini ? Imagine mama Nurse wa kawaida sana akiwa na watoto wanne lakini alitulea, kama single mama katika kila namna tusikose maihitaji ya muhimu.......... maisha yetu yamenisukuma sana kufanya kazi kwa bidii ? Mama, Mama, u deserve something ?....Can't wait ?" ~~~~~~ Salome akielezea hisia zake

"Once again Happy Birthday mama yangu? as your first daughter sijui ni kitu gani cha kukupa ili uwe na furaha katika maisha yako yote na ukasahau machungu yote uliyopitia. Niliwaza sana nikupe nini mama yangu ?? Nikawa sipati jibu je nikupe Range Rover ??? nikagundua Hapana! Nikawaza je nikununulie V8?? Nikasema No Kwani ni Sh ngapi hiyo???????‍♀️??‍♀️ basi nikasema ebu nikupe heshima unayodeserve katika maisha yako yote. Today I decide to give you the Gift of the New House.?? Pumzika hapa Mama yangu enjoy maisha kipenzi chetu. Once Again Happy Birthday Mama Salome" ~~~~hayo ni maneno yake Salome

Mama yake Salome akimshukuru Mungu kwa mibaraka yake
Salome akilia kwa furaha huku mama yake mzazi (kushoto) pamoja na mama yake mkubwa (kulia) wakiwa sambamba naye
Mama Salome akiwa na watoto wake

Siwajui hawanijui lakini nimevutiwa na kuguswana story yao nikaona ni vyema ku share nanyi. ……….Happy birthday mama Salome. Nakutakia furaha zaidi, amani tele, na afya njema. Mzidi barikiwa. …….Hongera sana Salome!

“Be a woman of substance”!!

           Be A “Woman Of Substance”

Jojo is an example of Woman of substance
"A woman of substance is a woman of power, a woman of positive influence and a woman of meaning. To be branded a woman of substance is one of the greatest compliments one can give a woman that wants to be an “influential” female. Below, I have assembled four qualities a girl/woman should possess in order to become a “woman of substance.” 

Embrace your individuality and be happy the way you are:  The pressure put on women in today’s society is immense and I admire any female out there who doesn’t let the high demands and expectations get them down. In my experience, I have learned that we, as women, should not let the likes of “perfected” images or “criticism” affect us and It has came as such a relief to me to realize that being different and imperfect is far more interesting than being a “perfect” person. I believe that being yourself and feeling happy as yourself- just the way you are signifies the word “beauty.”

Use your voice: We were all blessed with voices to use them- so use them! I’m a relatively quiet person and a woman of not many words who next to never will indulge in small talk chit chat. It’s just who I am. However, on the other hand, when it comes to standing up for what I believe in or voicing my opinions on things, I never fail to make use of my voice. And neither shall you! Make use of what god has given you and say what you think, say what you believe in, and argue against what you don’t.

Find your dream in life and pursue it: Follow your heart…never give up…and you can do anything. We all have the ability to do whatever it is we want to do and fulfill any dream we want to fulfill; we just have to go and do it. When you find your passion in life, it creates a meaning in your life and gives you a purpose in the world: it generates happiness.

Continue reading “Be a woman of substance”!!

Yvonne Chaka Chaka ndani ya LB!

“What an honor to have a Music legend from South Africa ?? at our store Yvonne Chaka Chaka. She is one of the best singers in Africa also known as African Princess. She is visiting Atlanta for Mutombo Dikembe’s Foundation Gala which was held at the Ritz Carlton on Saturday. @yvonne_chakachaka” ~~~~~ Linda Bezuidenhout 
Hongera sanaaaaaa LB for that historical moment! Wow! I’m super happy and very proud of you! Awwih! Love it!! Mbarikiwe wote! So nice!  Continue reading Yvonne Chaka Chaka ndani ya LB!

Faraja Nyalandu: Tanzania itajengwa na sisi wenyewe

R.C Paul Makonda katika ujenzi wa taifa
Director wa Shule Direct Mrs Faraja Nyalandu

“Tanzania itajengwa na sisi wenyewe. Watu wa kawaida lakini tuna uwezo wa kufanya vitu visivyo vya kawaida. Ordinary people doing extraordinary things. Stand in the gap. #Tanzania”

Hayo ? ni maelezo yake Mkurugenzi Mkuu wa Shule Direct kuhusiana na picha hiyo ya Muheshimiwa Paul Makonda

Yesss! BossLady! Don’t let her over-shine you! Just keep Queening!


 “Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let’s start this day on a different note, shall we? Ladies and gentlemen I’ve heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let’s look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it’s not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don’t ever think you are worthless because of another person’s mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let’s put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE! ?”

 Yes! You Go Zari!! Don’t let her over-shine you! You have been a Queen way before her and CROWNS ARE A GIFT FROM GOD, THEY ARE CUSTOM MADE!! NO ONE CAN FIT ON YOUR CROWN BABY!!  IT GOT YOUR NAME WITH IRREMOVABLE SIGNATURE FROM GOD!!  Just keep Queening!! I love you even more!! ❤❤❤❤ Birthday loading huh ?? shame on them ?? And Diamond ataembea kwa magoti mpaka South Africa?!!  let them cry and their heart bleed badly ??????

Martin Tiho ashirikiana na Jokate kuanzisha “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu”!

Mr. Martin Tiho na Jokate Mwegelo

“Nikiwa na rafiki yangu Martin Tiho niliyekutana nae kwa mara ya kwanza miezi miwili nilipofanya ziara katika ofisi za New Habari Sinza jijini Dar es Salaam, alikuwa anasambaza CD za filamu aliyoigiza na kutengeneza mwenyewe. Tukabadilishana mawasiliano baada ya kununua CD yake na kuahidi kushirikiana nae. Ameanzisha kampeni yake ya “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu.” Na hivi karibuni tutawaletea tshirt kama njia moja wapo ya wewe kuchangia katika project yake. Nilimwalika aje tupige picha za pamoja. Picha hizi zitakuwa kwenye tshirt zake. Karibuni. Usengwile.” Jokate Mwegelo

“We all, like sheep, have gone astray, each of us has turned to his own way”

Pastor Caleb Migombo

“When we go a wrong path in life, God grieves over our foolishness, because He knows we are only hurting ourselves. He also knows that this is our natural tendency, because we
-like sheep-easily wonder and stray from the only Shepherd who can guide us and keep us safe.

What decision are you facing today? Don’t rely only on your own wisdom, or even on the wisdom of others. Instead, seek God’s will, and ask Him to guide you and show you His will.
Remember: His way is always best-always. We all, like sheep, have gone astray,
each of us has turned to his own way [Isaiah 53:6]” Yani Mungu huyu!! Nilikuwa Facebook kabla sijafunga nakutana na ☝ hilo hubiri toka kwa Pastor Caleb Migombo, nikajikuta ghafla nimekuwa mpole. Unajua maybe because I love Zari so I put my emotions to her situation nakusahau kuwa kuna Mungu! Eeh, Mungu nisamehe! And let me withdraw my words about the Zari situation: Zari whatever God tells you to do, you follow Him! Mlilie Mungu akupe hekima ya uwamuzi wa kufanya not us human being for we all are sinners in God’s eyes! …….As I said whatever decision you make I will respect you. But seek God’s wisdom only!! Be blessed

Charity Begins At Home!

Over the weekend I visited a young girl from Singida who I had sent to India for treatment during my days as a politician. She wasn’t feeling well, so I made it a point to be there for her during her doctors visit in Dar Es Salaam. #CharityBeginsAtHome ????

Tuishi maisha yetu lakini tuwe na mipango endelevu ili majina yetu yasisahaulike!

Elimu juu ya maisha sio lazima ujifunze kutoka kwako au kwa wazazi wako. Muda mwingine unaweza jifunza kitu kikubwa ambacho kitabadilisha mwenendo wako au mtazamo wako wa maisha, jinsi unavyo tafakari mambo, na jinsi unavyo fanya maamuzi toka kwa marafiki au a total stranger!. Sasa Steve Harvey alijifunza kuwa njia pekee ya wajukuu na vitukuu wake kumkumbuka na kujua jina lake ni kuishi maisha yake lakini kwa wakati huo huo lazima awe na “legacy” yake ambayo hata akifa wajukuu na vitukuu wake watamjua jina lake! Na somo hili alijifunza toka kwa bibi wa rafiki yake wakati akimpa wosia kabla hajafariki.

Kuwa na mipango endelevu ni swala hata Biblia (kwa Wakristo) inatuambia ni vizuri kuwa na mipango endelevu, kuzaliana na pia kujiendeleza kiuchumi. Hii kwa Africa ilikuwa ni kuwa na watoto “wakiume” wengi kwasababu watabeba jina la baba forever, waliamini mtoto wakike akisha olewa sio wako tena na anatakiwa kuchukua jina la mumewe!! Mwe, mie shangazi zangu walisema ni mwiko kuchukua jina la mumeo kwani sio baba yako ?? shangazi zangu hakuna aliyebadilisha jina, hata dada zangu / wadogo zangu walio olewa sijaona aliyebadilisha jina. Siku hizi ni wachache sana wanafanya hivyo kutokana na carrier kuanza kubadilisha ni process ndefu sana. Hivyo wanaishia ku hyphenated. Haya nawe jifunze hilo, kama unataka wajukuu na vitukuu wako wakukumbuke anza kuwa na mipango endelevu sio kula bata tu! Kwa mfano, hawa wajukuu wa baba yangu unafikiri watamsahau babu yao? Hata kidogo! kwasababu amewapa kumbukumbu ya kudumu. Sio lazima uache mali hata mafunzo fulani ya hekima kwa wanao ambayo yataishi ndani yao milele nao wata waeleza watoto zao kuwa walifundishwa na baba / mama yake…….. Ishi maisha yako lakini uwe na mipango endelevu ili wajukuu na vitukuu vyako wakumbuke jina lako.

“….labda ningekuwa naanza maisha leo ningerudi mfumo wa wazazi………hawa watoto ndio maisha yangu…….pia katika uzima ni parterns wakudumu”~~~~ Dr Lennard Tenende

Haya msikilize mzee wetu Dr. Lennard Tenende akielezea historia ya maisha yake. Naona ni mzee mwenye uzoefu mzuri sana katika mambo mbali mbali ya taaluma na kijamii. Msikilize mwenyewe.

Kumbe mzee Tenende ndio muanzilishi wa DICOTA?! Mmh! Mimi sio mpenzi wa DICOTA, maybe I need more education about DICOTA lakini niliwahi kumuuliza "Dr Ndaga" alipokuwa President wa DICOTA akasema "ni chama cha Educated Elite" ambao wanafanya mambo "makubwa makubwa" sio kuandaa BBQ na baby-shower parties!! Sasa mimi I don't consider myself "educate" or "elite" hivyo siwezi kujihusisha na DICOTA. Plus inawezekana DICOTA ina nia na malengo mazuri lakini naamini kuna watu fulani wameingia kwenye uongozi wa DICOTA ambao hawana nia nzuri na wataivuruga sana hiyo DICOTA! Kama mnaweza kuwatoa muwatoe. Lakini hayo ni maoni yangu tu, you can ignore me as I'm not a part of "Educated Elite" ??? So funny!.......?? Btw, wale walio wasema Bungeni ni wanachama wa Chadema sio mimi naomba ieleweke hivyo.

"Ni kati ya achievement ni kubwa kuliko hayo ma-PhD unayo yasema"! Hayo ni maneno yake mzee Dr Lennard Tenende kuhusu mkewe. Wow! What a humble man! Yani mwingine angekazana kusifia hayo ma-PhD yake wee mpaka mngekoma, Wahaya mpo? ?? Dr. Mwakasisi umemsikia mwenzako ?? ............. Halafu nyie wadada wa 21st century mnaona wazee wetu walikuwa hawaangalii kama umepaka poda, wewe kwenye mchaka mchaka akaona mdada mrembo wa kuoa! Sasa nyie poda mnapaka na editing juu halafu ndoa baada ya miezi 6 imekwisha ?? Stop being so fake, let the man fall in love with your heart and character not your makeup and lipstick ??............... Nimeona. Mzee Tenende amekuwa emotional kidogo kuhusu kuwa na watoto wengi,  amesema kitu ambacho Vivica Fox alisema kwa Oprah (SomaHapakuwa anajutia kutokuwa na watoto, kama angelijua angezaa hata watano! It really got me thinking ??....... nice interview!

Happy 53rd Anniversay to my baba na mama mkubwa!

Japo kwa kuchelewa siku moja , naomba niwatakie kheri na furaha ya kutimiza miaka 53 ya ndoa kwa baba na mama yangu mkubwa- Mr and Mrs Joseph Musira. Anniversary yao ilikuwa jana tarehe 09/12. Hawa ndio walikuwa my 2017-Hottest And Best Couple Of The Year! (SomaHapa) Naomba Mungu awazidishie baraka zake na awaweke salama mpaka tutakapo onana! Happy Anniversary wazazi wangu.


 

Unapokutana na mtu mwenye mafanikio usimuombe pesa. Muulize amefanyaje kufikia hapo alipo!

"When you meet person with means, a person that is well-off you think is successful  that you always wanted to be; don't go there asking  for money" Hayo ni maneno yake Comedian na TV host Steve Harvey kwenye Oprah Master Class. Master Class ni show ambayo watu wengi waliofanikiwa katika nyanja mbali mbali za maisha wanaelezea mafanikio yao kwa undani zaidi toka walivyokuwa wadogo mpaka walipo fikia. Changamoto zipi walipata, vipi waliweza kuvumilia, kumudu hizo changamoto, na hata kufanikiwa.Unapopata nafasi ya kukutana na mtu au watu ambao unawaangalia kama  "role mode / icon"  katika maisha yako usiwaombe pesa waombe wakuelimishe nini walifanya kufikia hapo walipo. Watu wengi wapo wepesi wa kuomba pesa kwa mtu aliyejaliwa kuwa nazo kwa ajili ya kujikimu na hiyo shida aliyonayo. Nautakuta muda mwingi shida hiyo haiishi ni kaituliza tu kwa muda. Hii yote nikwasababu wengi tunapungukiwa hekima ya kujua kuwa ni kheri mtu akupe elimu ya maisha ya nini alikifanya mpaka kufika hapo ili uone kama na wewe unaweza tumia njia hiyo kufikia malengo yako au kujikwamua kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Au utakuta wengine tumepingukiwa hekima ya kuona mafanikio ya watu ni  maovu mbele zetu nakuanza kutafuta njia ya kumuangusha bila kujua kuwa anguko lake ni maafa kwako pia. .......Hivyo tuwe waelevu kama nyoka na wenye hekima kama Solomon ili tuweze kujifunza kutoka kwa wengine haswa ambao tunaona wana tija katika maisha yetu.

Pale watu wanapokukatisha tamaa wewe piga moyo konde usiwasikilize. Kwanza mimi kwa experience yangu binasfi watu wengi wenyekukatisha watu tamaa ni watu ambao hawajiamini na pia hawapendi kuonekana kuwa wao wameshindwa katika kufikia kile wakitakacho hivyo hamna la zaidi zaidi ya kupiga makelele ili uwe muoga. Wakati ukweli wanatamani wangekuwa na ujasiri kama wako. Utaona wanakuja na maneno mengi ya kejeli ikishindikana wataingilia personal attack "hajaolewa", "mnene", "hana nywele" , "mbeba mabox"  yani ukishaona mtu anaenda kwa personal attacks jua maumivu yamemuhelemea ?? Nasiku hizi social media, basi watatafuta kila event au tukio lenye viongozi waende kupiga picha ili warushe kwa Facebook / Instagram basi tu ufikirie kuwa there really happy and making it, wakati rohoni wanatamani wawe na kipaji au nafasi kama yako. ?? Wanasaikolojia wanasema mara nyingi watu wanao ongelea wengine vibaya muda wote huwa kuna mambo ambayo hayopo sawa kwa upande wao sasa kwasababu hawataki watu wajue hiyo wanageuza attention kwa wengine! Na huo ndio ukweli! Usikate! Nawala usiache mashauzi yao yasio na kichwa wala nguu yakuumize au yakutoe kwenye malengo yako.

Mimi nilivyoanza hii blog yangu nimetungiwa uzushi wa kila namna; ooh huyo muhuni anatafuta mwanaume, huyo FBI, huyo kada wa CCM (utafikiri walishaniona na kadi ya CCM au nimevaa gwanda la CCM ??), mara anatafuta umaaharufu, mara mkabila, mdini, yani maneno mengi mno wengine wakadiri hata kwenda kwetu kuchunguza maisha ya kwetu nakuja kuongea kwenye magroup yao. Mara kazi yake kudhalilisha watu. Eti huyo anagombania mali za wazazi wake ?? Wengine wakazunguka kuwaambia watu wasiweke picha zao kwa hii blog. Yani hayo yote walifikiri nitaacha kublog!! Lakini nipo hapa and I'm here to stay! Mimi najua ninachofanya na ninako kwenda hivyo sijali. Waliokua wanasema mimi kazi yangu ni ku copy and paste ndio hao hao wanakosa raha kwani wanatamani niwaweke humu kwa blog yangu nami hata habari nao sina ??  Ni maumuvi makali sana wanapata. Wewe songa tu, wakikwambia huwezi wambie wewe ni nani hata useme hivyo! Kitu kingine usiamini kila rafiki. Yani ukiona mtu ambaye ni rafiki yako anachukia maendeleo au mafanikio ya mwingine achana na huyo rafiki mara moja. Kwani inamaana wewe ni rafiki yake Kwasababu haujamzidi kimaendeleo lakini siku ukitaka kunyanyuka atakuwa wakwanza kukuangamiza! Niamini nimeyaona!

Siku zote kuna mtu mmoja ambaye atakuelewa na ambaye atakuwa yupo teyari kukusaidia kufikia malengo yako. Mungu huwa hamtupi mja wake! Kama nipesa basi huyo mtu anaweza kusaidia, kama ni mawazo yanini ufanye ili ufanikiwe basi huyo mtu atakuwa yupo tayari kutoa ushauri. It means that person believes in you and truly cares about you! When it looks like nobody cares trust me someone is out there who really cares about you! Muda ukifika Mungu atamleta kwako. Usikate tamaa!

“BlackLoveDoc”

Wapendwa kama mjuavyo mimi ni TV addict but stupidity never entertained me!! Yani huwa na penda show zenye kunielimisha kimwili na kiroho, pia za kunifurahisha lakini siyo show zenye mambo ambayo hayana mana. Sasa mwezi uliopita kwenye OWN channel Oprah akatangaza hii show mpya inaitwa “BlackLoveDoc” ambapo wapenzi/ wanandoa wenye asili ya watu weusi (blacks couple) wanaelezea their love story, parenthood, na challenge walizopitia na how they overcome them. Inahusisha celebrities na watu wakawaida.  Yani I literally said to myself, huyu Oprah is reading my mind or what? Kwasababu hiyo ndio nilianzia hapa kwa blog yangu na kila mwaka on Valentine’s day huwa nataja couple of the year!………. Anyway, show ni nzuri sanaaaa! Nimeipenda mno,

Wenye mapenzi ya kweli utawaona tu toka mwanzo, wewe saa kumi asubuhi mtu anapiga simu Kwasababu kasikia kuna Earthquake? Ndugu zangu mliopigwa na Hurricane Harvey mlipokea hata text za pole ??  wahenga walisema kuwa uyaone ??

Show inapatikana kwa YouTube unaweza angalia katika muda wako.