Hongera sana Mariam Kimesera

FB_IMG_1441339014943Hongera sanaaaaaa Mariam  Kimesera kwa nafasi uliyopata toka Georgia Music Awards. Mungu akubariki na huu uwe mwanzo tuu wa mambo mengi mazuri na makubwa zaidi ya hapa. FB_IMG_1441339025711Mariam alichagulia kuwa mmoja ya watu waliokuwa waki-present zawadi za washindi katika sherehe au tukio la GA Music Awards iliyofanyika tarehe 21 / 08 / 2015 katika jiji la Atlanta, Georgia, USA.  FB_IMG_1441339075921Mariam alipata nafasi ya kuwakilisha / kukabidhi zawadi kwa watu watatu tofauti. FB_IMG_1441339101390Mariam ni mtoto wa  tatu wa mwanamitindo aliyetukuka Missy LB (Linda Beuzenhount). FB_IMG_1441339056026Hapa akiwa na mama yake pamoja na International model Renee Norris tayari kwa kuingia kwa red carpet.  Wote watatu walikuwa wamevaa nguo zilizo shonwa na LB……Hongera sana Mariam.

Leave a Reply