Hot shot of the day

FB_IMG_1449165889020-1Niliziona hizi picha jana, nikajikuta nasema Wow! Bila kuongeza neno! FB_IMG_1449165859614-1Huyu ni dada yetu kipenzi ShyRose Bhanji hapo juzi kati alikuwa akifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya netball ya wabunge la bunge la Africa Mashariki. FB_IMG_1449165811971Yani mimi kanitia hasira aaaa! Hata sikubali lazima nita revenge tuu!! Yani at her age still she can bend like a teenager?! I mean simaanishi kuwa ni mzee but I am sure she’s above 40 yrs old! Na kama wengi tujuavyo sisi wanawake wengi tukishafika 38 tunakuwa tunakauka kama dagaa wa Kigoma ???? tena ukiwa Bongoland  / Africa  ndo mwe! Wee acha tuu!  Lakini mchekini dada yetu still bending and twisting it like High school student tena siyo kimbau mbau nope! Ana mwili nzuri wa wastani mwili fulani amazing!! Aah! Kanipandisha mzukaaa ??? Hongera sanaaaaaa dada yetu! Well done!

Leave a Reply