Mother and daughter moment

image-2Pendeza sana mama na wanawe. Mama Jackie na Julie, hongera sana kwa kukuza dada yangu. Mbarikiwe wote.

2 thoughts on “Mother and daughter moment”

  1. Haaa Asante namshukuru mungu kwa baraka hii ya watoto na kwa neema ya kuwalea mpaka hapo. Mungu ni muaminifu amenishindia hiyo vita ya malezi

Leave a Reply