Kutoka Facebook

Nimependa sana hii picha ya Bella Ayugi-Twaakyondo.  Kwakweli kapendeza sana, uzuri wa asili, na lipstick ya rangi iliyo tulia vinavutia. Inaaonyesha ni jinsi gani Bella anajikubali na kujiamini ndiyo maana hajaangaika na makoro koro mengi usoni. Big up Bella.

FB_IMG_1428974147741

One thought on “Kutoka Facebook”

Leave a Reply