Category Archives: Womanhood

Mtu na mtani wake!

fb_img_1481323870117My darling mtani and I! #FBF  Dec 9th 2012 Uhuru Day, Chicago , Illinois ……..penda sana my mtani ?? ………… ma’am! Will I ever go back to that size ?? ??

Mtu na wifi yake!

screenshot_2016-12-08-11-38-53-1Mwanamke wifi jamani eeh ?? Raha sana wifi yako ndio akiwa best yani kaka mbona atakomaaa! Halafu wifi kafanana sana na binti Makamba utadhani dada wa damu vile! Anyway happy belated birthday to her.  mbarikiwe sana.

Womanhood!

screenshot_2016-12-05-20-47-32-1-1 screenshot_2016-12-05-20-46-01-1-1 screenshot_2016-12-05-20-45-15-1-1 screenshot_2016-12-05-20-29-48-1 screenshot_2016-12-05-20-29-57-1 screenshot_2016-12-05-10-12-38-1

#LeanInTogether: Together Women can

screenshot_2016-12-03-16-21-42-1

fb_img_1480807470360
ThrowBack: 2015, African women in Sydney, Australia…….picha credit to Fina Nyongo

screenshot_2016-12-03-16-21-54-1

#LeanInTogether #TogetherWomenCan #WomenSupportWomen

#There’sPowerInSupportingEachOther

Womanhood!

screenshot_2016-11-29-10-45-43-1 screenshot_2016-11-29-10-48-50-1 screenshot_2016-11-28-06-24-17-1screenshot_2016-11-28-06-23-59-1

Womanhoood!

screenshot_2016-11-27-08-46-32-1 Yes! And indeed you are one of them! Vijana wanakuhitaji sana!screenshot_2016-11-27-08-35-28-1 screenshot_2016-11-27-08-36-20-1screenshot_2016-11-27-08-36-35-1

Womanhood!

screenshot_2016-11-25-16-14-07-1screenshot_2016-11-24-11-28-35-1screenshot_2016-11-25-10-09-37-1screenshot_2016-11-25-10-09-32-1screenshot_2016-11-25-10-22-35-1

Womanhood!

img_20161122_202126binti Malaika katika moja ya nguo zake…….please mtembelee kwa Instagram yake kwa jina la @bintimalaika screenshot_2016-11-22-16-07-33-1-1 screenshot_2016-11-22-03-05-15-1fb_img_1479753397075-1 screenshot_2016-11-22-11-50-55-1

Womanhood!

screenshot_2016-11-11-08-51-21-1screenshot_2016-11-11-08-48-31-1screenshot_2016-11-11-08-49-41-1screenshot_2016-11-11-08-49-55-1screenshot_2016-11-09-19-11-27-1

Girls compete with one another. Women empower each other!

fina-nyongo-20161101_204320African women in Sydney , Australia during end of the year annual  dinner. powerful! …….nimetoa kwa my friend  Fina Nyongo (2015 Hottest And Best Couple Of The Year) mwenye nguo ya maua ya black and pink screenshot_2016-11-02-13-41-09-1Hii picha ukiangalia inakupa furaha fulani hivi! #WomenPower ??❤ IT screenshot_2016-11-01-22-30-10-1Hoyce Temu na Mboni wa Mboni Talk show……… Wadada wanao jitambua ? screenshot_2016-10-29-21-10-07-1Wamenoga eeh! Wamependeza sana kwakweli……..screenshot_2016-10-30-15-21-05-1So powerful! ……..Girls compete with each other. Women empower one another!……..Mungu awabariki wote ?

“Na waachike tu kuliko wauwawe kwenye ndoa”- Joyce Kiria

Mahaba bila kipigo Inawezekana????

Acha kulala huku umejaa manundu na hasira za mateso ya Ndoa..unakazi ya kulia usiku kucha, moyo umejaa chuki na hasira ya mateso ya kila siku ya hapo nyumbani… huna raha tena umepoteza kujiamini na kujithamini, unajiona huna maana tena…

Nakuambia Siyo kweli ni Ibilisi anakudanganya… Amka Jipende wewe ni wa thamani mnoooo, Bwana anakujali anakupenda sanaaaa… anza kijipenda kwanza kabla hujampenda Baby????

Ivi kwa nini umeng’ang’ania hapo na unateseka ??? kwani ulizaliwa na hiyo Ndoa??? kama anakupa mateso badala ya Mahaba huoni hata yeye kashikiliwa na nguvu za giza… Japo mahaba matamuuuu????? lakini yasiwe ya kipigo ndaoooo Ngachokaaaaaa
.fb_img_1475151929031#MWANAMKEPIGAKAZI????
.
#MEANAUMEPIGAKAZI????screenshot_2016-09-29-07-22-52-1

“Usiendelee kuteseka kwenye ndoa kwasababu ya wazazi wako”-Joyce Kiria

fb_img_1475097077483USIENDELEE KUTESEKA KWENYE NDOA KWA SABABU WAZAZI WAKO WATAONA AIBU UKIONDOKA?????? HAWAJUI MATESO UNAYOYAPATA KWENYE HIYO (JEHANAM) NDOA…..
.
USIOGOPE KUPAZA SAUTI KWA SABABU YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI… USIOGOPE KUCHEKWA ETI UMEACHIKA – PINGA UKATILI KWA VITENDO… CHUKUA HATUA MAPEMA KABLA UMAUTI WA KUJITAKIA HAUJAKUKUTA…. PIGA KAZI PATA PESA JIPENDREEEEE KABLA YA KUMPENDA BABY ????
.
NDOA NI MAHABA  SIYO MAKONDE NA MATUSI….
.
NGACHOKAAAAAAAAA #MAHABABILAKIPIGOINAWEZEKANA???????????????????
fb_img_1475097089078Make up by Me?????
Nywenye from one and only @rosebrazilian

BAADHI YA MAONI: screenshot_2016-09-28-16-10-52-1 screenshot_2016-09-28-16-11-06-1

 

Young girls out there: be you, be you, and be you:- Hoyce Temu

screenshot_2016-09-23-05-23-40-1screenshot_2016-09-23-05-23-50-1

“Every woman is born a princess. Yet not every woman grows to become a queen”!

GOD IS RAISING AN ARMY OF WOMEN FB_IMG_1472063495137

Every woman is born a princess. Yet not every woman becomes a queen. Being a queen requires growth, change, evolving, maturing; and learning to value, respect, and care for yourself and serve others. Esther was selfless and willing to even die as she went before the king and plead with him to stop the death of the Jews. Back then you could be killed if you approach the King when he had not called for you , so this involves being more selfless than you are selfish, and more loving than you are defensive.

A queen is a woman who knows who created her and the purpose for which she was created. After Esther became a Queen it didn’t end there. She would pray and fast to fulfill the reason why she had been made Queen which was saving the Jews. A queen is a woman who never stops growing into who she ought to be, a wise woman who is rarely in the midst of gossip, and who partakes not in drama and childish things. Esther knew the dangers of what could have happened to her but she didn’t stop or give excuses. A queen is a woman who is strong-minded, intelligent yet humble, soft spoken, and doesn’t justify her weaknesses, but daily focuses on improving. A queen is everything a princess has potential to become. Until a woman grows into the queen she is created to be, she will remain a lost princess.”

Like Esther, discover your purpose of living and your God-given path which leads you to the palace. Your purpose will open doors for you as proverbs 18:16 tells us. Don’t get too comfortable being an idle queen but keep forwarding ahead. Be a woman of prayer, fasting and daily meditation of the word of God. God is raising women like Esther to arise from being a lost princess to becoming a Queen.

By: inspired with T_sha