Category Archives: Mother and daughter moment

Mother and daughter moment

Nimependa sana hii picha ya Nambua Cassandra na mama yake mzazi mama Mlaki. Hii ilikuwa wiki iliyopita kwenye babyshower ya Nambua. Mmh! So touchy, lovely, and priceless moment. Happy Mother’s Day to both of them!

Mother and daughter moment: Mama Essy na Essy

Ain’t they cute! Lawyer Janeth Igogo and her beautiful daughter Essy looking beautiful in a custom made African print dress! Wamependeza sana ??

Mother and daughter moment!

Wema atinga Chadema bega kwa bega na mama yake! Limekuwa si jambo la kushangaza sana kuona mama Sepetu akiwa mguu kwa mguu katika maswala yanayo muhusu binti yake Wema Sepetu, japo kwa safari hii imekuwa tofauti kidogo na matukio mengine anayo yafanya!…….Wema amemwaga manyanga ya CCM na kubeba manyanga ya Chadema juu tena kwa madaha na mbwembwe nyingi huku mama yake mzazi akiziunga mkono na kuzibariki mbwembwe hizo!…….  Je, nguvu ya mrembo huyo yatosha kumng’oa Magufuli  / CCM madarakani?!! Mimi sijui kwani Siasa isn’t my cup of StrawberryMango smoothie! Bali naweza sema tuombeane uzima ili tushuhudie mambo 2020!……wishing her the best in her handover!

Nitarejea…….!

Hello wapendwa wasomaji wangu, natumaini wote hamjambo. Mie mzima wa afya hofu na mashaka ni nyie mlio mbali na upeo wa macho yangu 🙂 🙂 🙂 ……..wapendwa nime wamiss sana ila naomba mnivumilie tu simnajua nipo Bongoland na mambo ni mengi lakini soon tutarudi katika hali yetu ya kawaida na kwa nguvu mpya!…..Hata hivyo nawashukuru sana Halotel kwa  internet  ya uhakika! Nawasii wote tumieni mtandao wa Halotel kwa mawasiliano yenye viwango vya kimataifa!……..Nitarejea….!

Mother and daughter moment

Katika wazazi ambao nawahurumia pia na mu-admire sana ni mama yake Wema Sepetu! Ni mmoja wa wazazi ambao wanapitia changamoto nyingi sana katika maisha ya kila siku kutokana na maisha ambayo binti yake ameamua kuishi; hivyo kahilo namuhurumia sana! Lakini kama nilivyowai kusema huko nyuma (somahapa) kuwa ni mama ambaye ananifurahisha sana na jinsi anavyo simama bega kwa bega na binti yake, katika mabaya na mazuri! Kwa wazazi wa Kiafrika ni ngumu sana! Wachache mno wanaweza fanya afanyavyo mama Sepetu! Na kwasababu hiyo anakua mfano mzuri sana wa kuigwa! Mtoto wako ni mzigo wako mpaka kifo. Huwezi mkana au mkataa mtoto wako eti kwasababu tu haendani na maisha utakayo! Big up mama Wema!

 

Mother and daughter moment!

Mimi hapa na mommy angu ? hapa ni siku ya Juma Mosi iliyopita tukiwa nyumbani Keko Juu teyari kwa mtoko wa harusi ya mtoto wa jirani yetu and a good friend to mama…….Jamani sasa hivi tunaishi mbali hivyo tukitaka kwenda kwenye sherehe za maeneo ya Tabata, Mbezi n.k inatubidi tulale kwenye mji wetu wa zamani (Keko Juu) kwani wakati wakurudi kuna kuwa mbali na kabla ya kufika home kuna pori fulani hivi huwa hatupendi kupita usiku sana….Sasa hivi nafikiri itabidi kuangalia sana sherehe za kwenda kwani usalama wetu ni muhimu sana japo so far hatujawahi sikia kitu chochote kile ambacho ni cha kutishia amani au usalama wa eneo hilo!

mother and daughter moment!

Foster na mama yake wakiwa Dubai wakati wa family holidays vacation ya 2016! Wamependeza sana

What a lovely picture of Nambua na mama yake, beautiful and inspiring! ……by the way ushawahi kusikia Cassandra Lingerie?! Wanakwambia “Mwanamke vazi la ndani”! Yani huko ndipo mambo iko kwa wasichana na wanawake wanaojijali na kujithamini fika Cassandra Lingerie ukajionee mwenyewe!

Mama Foster na binti zake waki enjoy vacation yao, so cute!

Mama na binti yake!

screenshot_2016-12-11-10-38-11-1-1 Mwamvita na binti yake wakifurahiya weekend! Nivizuri sana na ndivyo inavotakiwa kwa wazazi kutenga muda wa kukaa na watoto wao kwani inaimarisha uhusiano mzuri wa watoto na wazazi wao!screenshot_2016-12-11-11-32-22-1screenshot_2016-12-11-11-32-47-1

Mama na bintie

screenshot_2016-11-27-08-35-47-1Happy Sunday to you too mama Gabby! Be blessed always

Mother and daughters moment

screenshot_2016-11-22-13-16-52-1fb_img_1479842379658Raha sana pale watoto au mtoto wako ndio anakuwa rafiki na shabiki wako number moja! Yani ni mbaraka wa pekee kwani kuna wamama wengine mmmh! Wamama wa DotCom yani hata watoto zao wanawakimbia! ??? Yani LB namfananisha na Kris Jenner mama yao Kim Kardashian jinsi alivyo karibu na watoto wake hadi raha!
fb_img_1479842349202
Wamenoga eeh! Wanavutia sana! Hata kama huwafahamu lakini lazima utakuwa unajisikia furaha kuwatizama!…….. Mbarikiwe sana LB na familia yako!

Mothers and daughters moment

sophy-ateng-20161101_204043 My darling aunt Sophia Ateng and her beautiful daughter AnnD…… I love them so muchmagreth-igogo-20161029_114429Mama na binti yake Nyasungu (Magreth)  na Nyandege (Sarah)….love my people. by the way kwa wale msiomjua Sarah ni my niece mtoto wa my sister Anyango-Nyoyoo 

 

Mama na binti yake

fb_img_1473683500975fb_img_1472436063790Mama na binti yake! My mtani enjoying weekend na mama mzazi in NY! ………Mama yake mtani wangu kaja msalimia mwanae, ndugu jamaa, na marafiki! Karibu sana mama enjoy your stay ❤❤

Mama na binti yake

fb_img_1473624683842Zari na binti yake Queen Latiffa, Wamependeza sana

Mother and daughter moment

FB_IMG_1470920426022Beautiful Linda Bezuidenhount and her gorgeous daughter Malinda….they are too cute!

Mother and daughter moment

FB_IMG_1470772149200Bella Ayugi akiwa na mama yake mzazi mama Ayugi! Wamependeza sana, mama Ayugi naona yeye ana zeeka kwa kuwa kijana. Amependeza sana. Mbarikiwe sana.

Mother and daughter moment!

FB_IMG_1470766847916Mama Mercy and Mercy ?? Kwakweli namshukuru Mungu kwa kunipa fursa hii ya pekee ya ku experience motherhood! Nampenda sana mwanangu lakini napenda kuitwa kwa jina langu “Alpha”!! Nashukuru kuwa nyumbani kwetu wote huwa wananiita kwa jina langu ? Just call me by my name you make me proud! Mwanangu huwa ananiita jina langu la kilugha ??

Mother and daughter moment

FB_IMG_1467556839637Mwajuma and her Princess …..pendeza sana mbarikiwe