Category Archives: Mother and son (s) moment

Mama Prince Kairo: Wipe their tears as you wiped mine father Lord

Regrann from @ladivamillen  -  I’m sharing my son’s pictures today not just for my supporters and followers to meet him, but  I needed to tell a different story.  Story of FAITH and HOPE. I needed to give hope by showing a picture of me holding my son, which I believe it could uplift and inspire someone out there. -Millen Magese .Catch my cover story interview Exclusively @genevievemagazine share it with that woman or family who lost Hope on Infertility battle. ?

 #NothingIsImpossibleWithHim #endometriosisawarenessmonth2018 #EndometriosisAndInfertilitySucks #SPEAKOUT #yellowdotfor1000needles #PutAStopOnEndometriosisAndInfertility. Custom dress by @eseazenabor you’re amazing.?  - #regrann  Regrann from @ladivamillen  -  To read part of my story please check out the link on my bio for EMag then you can download.  I look at your face my baby  and can’t stop thanking God! My Miracle Worker ! Awesome is your name! Mighty is your name ooh God, I praise you, there is nothing you can’t do Lord! Do for other women as you did for me. Wipe their tears as you wiped mine father Lord. Let them experience the joy of carrying their own babies. You’re faithful God and awesome is your name?. Praying for all women out there to experience this joy soon ?#PrinceKairo???. Get to read our story @genevievemagazine .
Mama na kijana wake!

Ain’t they cute! Amazing! Zion ni kazurije sasa, such a cute little boy! Pendeza sana wapendwa! Mbarikiwe wote! ??

Mother and son moment!

Wamependeza eeh! Glory na handsome boy wake! Nimependa sana nywele za Glory, zimempendeza mno! Nywele fupi zinawatu wake lazima kichwa kiwe kina "pembe" zilizo lingana  lasivyo utachekesha wafiwa ? .......Safi sana .....I ❤ it
Today's Quote : "Men are what their mothers made them."~~~~~~ Ralph Waldo Emerson
Eti jinsi mama umleavyo mtoto wako wa kiume ndivyo atakavyo kuwa atakapo kuwa baba / mume /mtu mzima! .......Kwa mfano, kama hauto mfundisha thamani ya mwanamke na jinsi ya kuwaheshimu wanawake basi hawezi elewa na akiwa mume / baba hatojua jinsi ya kuishi kwa kumuheshimu mumewe au watoto wake wakike kwani haukumfunza hivyo! Bible inasema mlee mtoto katika njia mpasayo naye hataiacha hata akiwa mzee! Anaweza akajikwaa na kutoka nje ya mafunzo au malezi uliompa lakini hato potea milele kwani lazima nafsi yake itamsuta kuwa haya niyatendayo siyo malezi niliyopewa na mama yangu. Hivyo atarudi katika njia sahii!...............Mbarikiwe sana wamama wote wenye mapenzi mema kwa watoto wenu.

Mother and son moment: DONT STOP BECAUSE YOU ARE TIRED, STOP WHEN YOU HAVE ACHIEVED

Awii! Aren’t they cute! The legendary Bosslady Zari Hassan na soldier wake katika ubora wao! Ee Mungu wabariki na uzidi kuwalinda ???……………Embu soma haya maneno matamu ya kutia moyo kwa wakina mama toka kwa mwanamuziki mashuhuli kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama Akothee Akothee:

As a mother you have no time to sit & wait , you have no time to compare your present & past , all you have is to sort out the situation at hand , it doesnt matter who is watching just do your thing , dont think of what people think about you , because most of the time people think about their own problems , so why even care about them . Do some justice to yourself , live your life, for the rest are making noise, try drop your children at your friends house for a week & lets see if the next time you call to drop the kids they will answer your call , lets see if you wont be the topic of the group charts on how irrespossible you are , bottom line is , any woman who has had a child has a wondering heart , your heart never settles not unless you have all your children under one roof , I dont know your method of hustling as long as it can pay your bills hold on to it , be proud of what you do , be happy that the children are healthy & that you have something to do ,when you feel tired of your current job , remember how they used to laugh at you when you dint have a job, remember how hard you prayed to God to give you any job , remember how you used to ask for used weaves & borrow people clothes for occasions , be patient , be kind , be gratefull , your day is coming . DONT STOP BECAUSE YOU ARE TIRED , STOP WHEN YOU HAVE ACHIEVED #TEAMPOSITIVITY.

Mother and son moment: Mama Zion na King Zion

Ni picha ya muda kidogo lakini nimependa! Dina Marios na mtoto wake #King Zion handsome boy wa nguvu!…….Nimependa sana muonekano wao na maneno ya kwenye Tshirt! Wamependeza sana!……..Kuna video fulani inaonyesha Dina akimfundisha Zion kukaanga Kuku, nimependa sana! Dunia ya sasa maswala ya kupika siyo kazi ya Mwanamke peke yake! Hapana! Hata wanaume nao wanahitajika kujua kupika ili waweze saidiana na mke ndani ya nyumba 🙂 Dunia imebadilika! …..Mbarikiwe sana mama Zion na King Zion!

If you want your children to turn out well………!

screenshot_2016-12-14-14-53-26-1Mama Zion na Zion  wake…..so lovely!fb_img_1481749068942Wifi yangu mama Fidel na Fidel-Pilato Sarungi…….nice one!  screenshot_2016-12-14-14-52-45-1 Mama Miran na Miran wake ndani ya jiji la Italyscreenshot_2016-12-12-13-21-51-1fb_img_1481607023189

Mama na kijana wake!

fb_img_1474033302201How beautiful is this! Jacqueline na mtoto wake wamependeza sana!

Mama na jeshi lake!

fb_img_1473861368306Foster na vijana wake! Chocolate boys wa nguvu! Wamependeza sana. Mbarikiwe!