Faraja Nyalandu: Tanzania itajengwa na sisi wenyewe

R.C Paul Makonda katika ujenzi wa taifa
Director wa Shule Direct Mrs Faraja Nyalandu

“Tanzania itajengwa na sisi wenyewe. Watu wa kawaida lakini tuna uwezo wa kufanya vitu visivyo vya kawaida. Ordinary people doing extraordinary things. Stand in the gap. #Tanzania”

Hayo ? ni maelezo yake Mkurugenzi Mkuu wa Shule Direct kuhusiana na picha hiyo ya Muheshimiwa Paul Makonda

Mother and daughter moment

Thankful. Grateful. Blessed #LoveOverEverything

Wamenoga eeh! Mama na mwana, Nancy na binti yake Zuri. So pretty!

Quote for today: A daughter is just a little girl who grows to be your best friend.

 

 

Dr. Ntuyabaliwe Foundation doing community work in my district!!

” Today I visited a Primary School in Temeke district representing @drntuyabaliwe_foundation to discuss about setting up a school library for them.I was very excited to hear that “Reading(Maktaba)” has been introduced as part of the curriculum this year so our library donations will really help kids to have the right environment for that subject.This school started before I was born and they’ve never had a school library. ” ~~~JNM

I’m happy to see the representative of Dr. Ntuyabaliwe Foundation Jacqueline Mengi a.k.a  Mama wawili doing community work in my district- Temeke! Yes, was born and raised in that district for that thank you Dr. Ntuyabaliwe Foundation for thinking of us. ?

Thank you Jacqueline, Mrs billionaire ??❤

Yesss! BossLady! Don’t let her over-shine you! Just keep Queening!


 “Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let’s start this day on a different note, shall we? Ladies and gentlemen I’ve heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let’s look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it’s not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don’t ever think you are worthless because of another person’s mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let’s put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE! ?”

 Yes! You Go Zari!! Don’t let her over-shine you! You have been a Queen way before her and CROWNS ARE A GIFT FROM GOD, THEY ARE CUSTOM MADE!! NO ONE CAN FIT ON YOUR CROWN BABY!!  IT GOT YOUR NAME WITH IRREMOVABLE SIGNATURE FROM GOD!!  Just keep Queening!! I love you even more!! ❤❤❤❤ Birthday loading huh ?? shame on them ?? And Diamond ataembea kwa magoti mpaka South Africa?!!  let them cry and their heart bleed badly ??????

Martin Tiho ashirikiana na Jokate kuanzisha “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu”!

Mr. Martin Tiho na Jokate Mwegelo

“Nikiwa na rafiki yangu Martin Tiho niliyekutana nae kwa mara ya kwanza miezi miwili nilipofanya ziara katika ofisi za New Habari Sinza jijini Dar es Salaam, alikuwa anasambaza CD za filamu aliyoigiza na kutengeneza mwenyewe. Tukabadilishana mawasiliano baada ya kununua CD yake na kuahidi kushirikiana nae. Ameanzisha kampeni yake ya “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu.” Na hivi karibuni tutawaletea tshirt kama njia moja wapo ya wewe kuchangia katika project yake. Nilimwalika aje tupige picha za pamoja. Picha hizi zitakuwa kwenye tshirt zake. Karibuni. Usengwile.” Jokate Mwegelo

Zari don’t leave Diamond!!

Zari I am deeply sorry my dear! But I beg you to stay! Don’t leave Diamond!……..Unajua mwanzoni niliongea bila kusikiliza interview ya Diamond na Leo Tena!………Sasa baada ya kusikiliza ndio nimejua nini kina endelea……….

 Zari is just  another Victim ya mimi kumuweka hapa kwa blog yangu! O’yes! Believe me! Kama wengi hamjui kuna mtandao mkubwa sana hapa Marekani na baadhi yao wapo UK ambao unatumia mgongo wa “siasa” kunichafua na kuichafua familia yangu!! Sasa watu waathirika wakubwa ni watu nianao waweka hapa kwa hii blog yangu!! Yani kama hao watu hawata nikana mimi na familia yangu (watoto wa mama yangu) basi wakiwekwa humu watafanyiwa kila mikasa na kutukanwa bila wao kujua sababu. Huu mtandao umeniandama mimi kwa muda mrefu sana kabla hata sijaanza ku-blog when I was in Kalamazoo, Michigan!

 Mimi mwanzoni sikujua nini kina endelea nikamwambia baba yangu kuwa I think some people are stalking me, hakunielewa why? Hii story ni ndefu sana but to make it short siku zao zinafika wote watajulikana tuna wachora tu! Mimi nilitaka to commit suicide mara mbili because no one believed me first wakifikiri nimechanganyikiwa! Oh! Yes! Usinione na simama na baba yangu Dr Magufuli na nitasimama naye mpaka nakwenda kaburini because he saved my life!! Nimtandao wa watu wengi sana mpaka Wachungaji wa Kisabato wamo kwenye huu mtandao! Baadhi ya ndugu zangu nao wapo kwenye huu mtandao.

 Kuweni makini sana haswa wanachama wa CCM na picha mnazopiga na watu kwani hawana nia nzuri. Nia yao nikuwachafua watu wa CCM au ambao wazazi wao wapo CCM! Mimi nilipiga picha na mzee Tenende na some people kwenye DICOTA 2012 in Chicago mtu akaja niuliza maswali ambayo siku yaelewa mpaka nikatoa baadhi ya hizo picha. Kumbe hapo ndio walikuwa wameanza mchezo wa kuni stalk! And even to this date this people are stalking me but since I know what is going on mimi nawachora tu!!

 Na huyu Hamisa lazima atakuwa anatumika!!…..,,…… Nayule mwanadada mzungu koko mwenye TV uchwara pale Dar es salaam kaeni naye mbali sana. She is a devil in a Lamb cloth!! You all know who I’m talking about!!  And please get this very clearly I don’t have “step mother” so when someone comes to you kuwa ni step mother wangu! Don’t listen! Wote ni mtandao huu!! ………Zari I’m deeply sorry for what you have to go through because of me!! But rest assured this is under control!!

“We all, like sheep, have gone astray, each of us has turned to his own way”

Pastor Caleb Migombo

“When we go a wrong path in life, God grieves over our foolishness, because He knows we are only hurting ourselves. He also knows that this is our natural tendency, because we
-like sheep-easily wonder and stray from the only Shepherd who can guide us and keep us safe.

What decision are you facing today? Don’t rely only on your own wisdom, or even on the wisdom of others. Instead, seek God’s will, and ask Him to guide you and show you His will.
Remember: His way is always best-always. We all, like sheep, have gone astray,
each of us has turned to his own way [Isaiah 53:6]” Yani Mungu huyu!! Nilikuwa Facebook kabla sijafunga nakutana na ☝ hilo hubiri toka kwa Pastor Caleb Migombo, nikajikuta ghafla nimekuwa mpole. Unajua maybe because I love Zari so I put my emotions to her situation nakusahau kuwa kuna Mungu! Eeh, Mungu nisamehe! And let me withdraw my words about the Zari situation: Zari whatever God tells you to do, you follow Him! Mlilie Mungu akupe hekima ya uwamuzi wa kufanya not us human being for we all are sinners in God’s eyes! …….As I said whatever decision you make I will respect you. But seek God’s wisdom only!! Be blessed

Zari please just give-up the fight!!

Baba yake Diamond akimfurahia mjukuu wake sambamba na Hamisa mama wa mtoto

Zari my dear, I can only image what you’re going through right now as I’ve never been in your shoes and I will never wish to wear them even for a minute!! But the only thing I know for sure is that, this family including Diamond doesn’t deserve you!! Zari just give up the fight and concentrate on the wellbeing of your children!! ………Sikiliza Zari this picture na nyingine nyingi ambazo familia ya Diamond wamepiga na Hamisa speaks volumes!! Hamisa is not a sidechick or just a babymama Hamisa ni mke mwenzio my darling!! Huo ndio ukweli!! Sasa uwamuzi ni wako kuwa kukubali ukweli kuwa mpo wawili au achana na Diamond uendelee na maisha yako but you can not fight Hamisa!! Mtoto kapewa jina la baba yake Nasib na wazazi wote wapo Tanzania?  Zari you can’t fight this!! Yani hata hizo picha watakazopiga wakati wa parenting time hata kama Hamisa hato kuwepo lazima zitakukera!!

Mimi ningekuwa wewe ningetafuta njia ya co-parenting na Diamond kama ulivyofanya na marehemu Ivan Ssemwanga!! Ningetoka kabisa kwenye social media for now na kuishi a very low key profile life. Yani concentrate na mambo yako na watoto zako basi! Achana na marafiki just your family members only!! Once ukiona uko powa then come back kwenye social media life again! For now ungeacha kwanza ………..Hachana na hii family as I said before they don’t deserve you!! Fikiria jinsi Diamond alivyokuwa anachekwa kuwa “HAZAI” magazeti yote yakamwandika jinsi his girlfriends wanasema hazai!! At your age you took the fall, with all the risks na kumzalia sio mtoto bali watoto and look how they repay you!! Achilia mbali jinsi ulivyo muonyesha njia ya kuweza kufanikiwa kimaisha hayo yote hawakujali ndio kwanza anamleta mwanamke kwenye kitanda anacho lala na wewe?!! This makes me sick whenever I think about it!!……..Unajua kuzaa na mwanamke mwingine unaweza piga moyo konde ukasamehe, lakini the fact kuwa this happened in your bedroom in the same bed you sleep with him!! That’s something else woman!! Mtu akudharau lakini si kwa kiwango hichi jamani!! Hamisa yupo comfortable in your bedroom utafikiri pale ni chumbani kwake??!! O’Lord of mercy!! Then mama mtu yupo sawa kabisa na mambo haya yote tena yanatendeka mbele yake!! Nimemshusha heshima huyu mama!! Something is wrong somewhere!! The whole management knew about it and no one said anything to you? Isn’t this how Michael Jackson died? People are selfish!! …………But in the end this is your life, you decide what’s best for you. I will surely respect your decision!! Just remember you once said you left Ivan Ssemwanga because you didn’t want your boys to think was OK to mistreat woman!! Think deep you got your daughter now, think deep!!……Pole sana!!

The baby got blue eyes!!!

Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Diamond na Hamisa Mabetto kwa kujaliwa mtoto wa kiume. Kwakweli Mungu kawajalia mtoto mzuri mno and he got ‘blue’ eyes?! Wow! Hongereni sana……… Diamond umefanya uwamuzi bora wa kumkubali mwanao mtoto hakustahili drama hizi zote ili wewe ukubali hadharani. But nothing worth of respect like a personal who accept and take accountability of his mistake! Own your mistake no matter how bad they are!! And for that, I salute you!! Mungu awatunzie mwanenu I can see another super star in the making!! Congratulations to both of you!

Charity Begins At Home!

Over the weekend I visited a young girl from Singida who I had sent to India for treatment during my days as a politician. She wasn’t feeling well, so I made it a point to be there for her during her doctors visit in Dar Es Salaam. #CharityBeginsAtHome ????

Yessss! Jojo is back!

Proudly made in Bongo Land @mac_couture ?❤️. I love the clarity of this pic shot by the kid @m.a.k.u.n.g.u and of course the flawless hair and make up by Dada Deee @americannailstz
Miss Jojo. Dress By @mac_couture Image Shot By @m.a.k.u.n.g.u ?❤️??
I missed y’all walahy. So I’m happy I’m kinda back, ??‍♀️. That billion ? smile shot by the baddest @m.a.k.u.n.g.u
Huwa napenda ku-support vipaji vipya kwenye tasnia hii ya ubunifu wa mitindo Tanzania. Leo nawaletea huyu @mac_couture nguo anashona mwenyewe. Beautifully and wonderfully made in Tanzania ?????‍♂️

I’m super happy my beautiful, smart, elegant, kind, loving, and “environmental friendly” babysister is back just like the way I wished!! ?? Yes! Such an environmental friendly lady; wanawake wengine ni hatari kwa mazingira yetu tunayo ishi!! Maongezi yao yamejaa chuki na uchochezi tuuu! Kazi yao is to pollute hali ya hewa ili kila mtu awe miserable kama wao! Wanawake kama Jojo ni wanawake adimu sana siku hizi! Woman with class!…….so happy! Welcome back baby girl you look AMAZING! Gorgeous is understatement kwakweli……….. We love you Jojo!?? ??

 

“Keep on believing in God. God is the referee of all referees until He says it is over.”~~~ Zari the BossLady

“Half time is not full time and HIS calendar for your life is not man’s calendar. BE ENCOURAGED! DON’T GIVE UP. With God all things are still possible!” Everyday is a fresh start with potentials. .. keep the faith…. keep on believing in God. God is the referee of all referees until He says it is over. Have a blessed week ahead….”~~~~~ Zari the BossLady

Where is my Jojo?! What happened to her?!

 Nawauliza walimwengu wa Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla, yuko wapi Jokate wangu???? Mimi sitaki matani ya hivyo!!! Siku zaidi ya kumi hajaonekana yuko wapi?? Na nini mbaya imemkuta?!! Kamanda Sirro, please check on my baby sister please!! Kaka yangu Paul Makonda nakuomba unitafutie Jojo wangu, tafadhali hii siyo powa kabisa!! Jojo, I miss you beautiful where are you  my babysister? Please, I want to see your beautiful face and cute smile please!! I hope you’re well wherever you’re! Let me know baby girl! Love you ??

“Watu wanafanyaga mambo magumu halafu wanategemea matokeo yawe rahisi INASHANGAZA SANA!!”  ~~~~~ Zamaradi Mketema

                            “Watu wanafanyaga mambo magumu halafu wanategemea matokeo yawe rahisi INASHANGAZA SANA!!”  ~~~~ Zamaradi Mketema

  Dah! Ujumbe mzito huu! Bado natafakari! Lakini ni kweli kabisa kwani huwezi tengeneza uji wa vitumbua ukitegemea kupata maandazi!! Huu ujumbe umenichoma ?? moyo in a positive way!!

LeMutuz umesema kweli lakini…………..!

 LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of growing up process historia inatakiwa kuwa @diamondplatnumz ndiye Mtanzania wa kwanza kuandika mafanikio makubwa ya music kuliko Wanamuziki wote wa Taifa hili walio hai na wasiokuwa hilo by FACTS halina ubishi ...leo ninaomba kuwakumbusha WaTanzania wenzangu kwamba kuna wakati tunakosea sana tunapomuhukumu huyu kijana mdogo kwa mapungufu yake huwa tunasahau kuwa ni Kijana mdogo sana mwenye umri wa the 20s so Scientifically au Theologically ni HAKI YAKE YA KIMSINGI kufanya makosa mengi kwa sababu umri wake unamruhusu ...tunamharakisha sana kuwa mtumzima wakati he is not yaani kama Wanawake wengi wanavyowalalamikia Waume zao kuwa hayupo hivi au hayupo vile ukweli ni kwamba he is not what you want now muache au baki naye ila nyamaza ...I mean hebu wale wote mnaomlaumu sana huyu Kijana mdogo sit down and look back ulipokuwa kwenye umri alioano wa the 20s akili zako zilikuwa zinafananaje? makosa mangapi uliyafanya? inaitwa process na ndio makosa makubwa Baba yake Michael Jackson aliyafanya kwa mtoto wake kwa kujali sana kipaji cha mtoto wake bila kujali ubinadam wake akaishia kumnyima nafasi ya kuwa mtoto mpaka kijana matokeo Michael alipokuwa mtu akawa hajielewi kama ni mtoto mdogo au mtumzima now na sisi kama Jamii tunataka kurudia makosa yale yale ya kumnyima Diamond process ya ku Grow up tunataka awe mtumzima ghafla kusudi afanane na muziki wake au our imaginations it is wrong TUNAKOSEA SANA ...sometimes ninashangazwa sana na hata yule Mpenzi wake anapomfanyia mambo ya kumrushia maneno ya shombo kwenye Social Media on a serious note huwa kwa sisi wenye AKILI KUBWAZZ anajichoresha cause alitegemea nini kumpenda Kijana mdogo in his 20s? ....I mean guys everybody back off tumpe nafasi kijana mdogo aishi maisha yake akosee awe sawa ni process ya kukua ambayo wote tumeipitia ..I mean unakuta yule Kibibi kule USA mtumzima Mama wa Watoto 3 Baba mbali mbali kimeachwa na Mume Jobless, Homeless hana hata Taifa maana hawezi kurudi tena Tanzania hata akiwa amekufa na yeye unamkuta anashambulia mapungufu ya Diamond kama vile na yeye ni kijana mdogo badala ya KUJITAFAKARI ATAZIKIWA WAPI NA NANI! ...guys tumuache Diamond awe Diamond! - le Mutuz
 
Ok LeMutuz, uliyoyasema yote ni ya ukweli kabisa nakubaliana na wewe lakini kumbuka Diamond himself decided to wear "big boy's shoes" thus must accept all the responsibilities that comes with it!! Ingekuwa ni mtoto wa kike anafanya hayo afanyayo Diamond naamini hata wewe ungekuwa mmoja wa watu wanaomponda! Tuache double-standard! Kama ameamua kuwa na watoto then he needs to act like someone's parent not a teenager anymore!! Plus ashukuru kuna watu wanajali hata kuamua kumwambia ukweli ili asiangamie kabisa japo wengine ni wivu na roho mbaya ndio zinawasumbua!................When comes to his relationship with Zari; you're absolutely right! Zari should have known the consequences of being in a relationship with a post-teenager boy!! Kwenye hii situation, she's the one who's grown  thus she needs to make some grownup decision to either let Diamond go or pull-up her "big girl panties" and suck it sincerely!! It seems to me Zari wants  husband around but Diamond is not ready to seattle down, he wants to "play house"! It's sad but is the truth!

Hongera sana Bertha na mumeo mtarajiwa!

Napenda kuchukua nafasi hii kwa kumpa pongezi na hongera nyingi sana Bertha kwa kutolewa mahali, kuvikwa pete ya uchumba, na kufanyiwa send-off party ya nguvu sana. Mungu awalinde awaweke salama mpaka siku ya harusi yenu. Mkawe na ndoa yenye furaha, amani, na upendo mwingi, Mungu atawale maisha yenu, awe ndio kimbilio lenu, na ngao yenu wakati wote. Hongera sana. Wapendwa Bertha ni ndugu yake na Foster Mbuna-Mkapa. Hivyo hizi picha zote kwa hisani ya Foster. ??     Foster katika ubora wake! I love everything on her! Beautiful ladies! Na hizo shape, mashallah ?

Tuishi maisha yetu lakini tuwe na mipango endelevu ili majina yetu yasisahaulike!

Elimu juu ya maisha sio lazima ujifunze kutoka kwako au kwa wazazi wako. Muda mwingine unaweza jifunza kitu kikubwa ambacho kitabadilisha mwenendo wako au mtazamo wako wa maisha, jinsi unavyo tafakari mambo, na jinsi unavyo fanya maamuzi toka kwa marafiki au a total stranger!. Sasa Steve Harvey alijifunza kuwa njia pekee ya wajukuu na vitukuu wake kumkumbuka na kujua jina lake ni kuishi maisha yake lakini kwa wakati huo huo lazima awe na “legacy” yake ambayo hata akifa wajukuu na vitukuu wake watamjua jina lake! Na somo hili alijifunza toka kwa bibi wa rafiki yake wakati akimpa wosia kabla hajafariki.

Kuwa na mipango endelevu ni swala hata Biblia (kwa Wakristo) inatuambia ni vizuri kuwa na mipango endelevu, kuzaliana na pia kujiendeleza kiuchumi. Hii kwa Africa ilikuwa ni kuwa na watoto “wakiume” wengi kwasababu watabeba jina la baba forever, waliamini mtoto wakike akisha olewa sio wako tena na anatakiwa kuchukua jina la mumewe!! Mwe, mie shangazi zangu walisema ni mwiko kuchukua jina la mumeo kwani sio baba yako ?? shangazi zangu hakuna aliyebadilisha jina, hata dada zangu / wadogo zangu walio olewa sijaona aliyebadilisha jina. Siku hizi ni wachache sana wanafanya hivyo kutokana na carrier kuanza kubadilisha ni process ndefu sana. Hivyo wanaishia ku hyphenated. Haya nawe jifunze hilo, kama unataka wajukuu na vitukuu wako wakukumbuke anza kuwa na mipango endelevu sio kula bata tu! Kwa mfano, hawa wajukuu wa baba yangu unafikiri watamsahau babu yao? Hata kidogo! kwasababu amewapa kumbukumbu ya kudumu. Sio lazima uache mali hata mafunzo fulani ya hekima kwa wanao ambayo yataishi ndani yao milele nao wata waeleza watoto zao kuwa walifundishwa na baba / mama yake…….. Ishi maisha yako lakini uwe na mipango endelevu ili wajukuu na vitukuu vyako wakumbuke jina lako.

Womanhood!

Ain’t they beautiful! Rafiki yangu kipenzi na college mate wangu Dinnah (kulia) akiwa na rafiki yake waliosoma wote secondary, anaitwa Erica. ……..hapo wapo South Africa enjoying some quality time together. Dinnah ni owner wa Masaki Computer and Printing hivyo nawaomba follow hiyo account ya Masaki kwenye Instagram na pia kwa wale mliko Tanzania tafadhali muungeni mkono rafiki yangu ?? 

“….labda ningekuwa naanza maisha leo ningerudi mfumo wa wazazi………hawa watoto ndio maisha yangu…….pia katika uzima ni parterns wakudumu”~~~~ Dr Lennard Tenende

Haya msikilize mzee wetu Dr. Lennard Tenende akielezea historia ya maisha yake. Naona ni mzee mwenye uzoefu mzuri sana katika mambo mbali mbali ya taaluma na kijamii. Msikilize mwenyewe.

Kumbe mzee Tenende ndio muanzilishi wa DICOTA?! Mmh! Mimi sio mpenzi wa DICOTA, maybe I need more education about DICOTA lakini niliwahi kumuuliza "Dr Ndaga" alipokuwa President wa DICOTA akasema "ni chama cha Educated Elite" ambao wanafanya mambo "makubwa makubwa" sio kuandaa BBQ na baby-shower parties!! Sasa mimi I don't consider myself "educate" or "elite" hivyo siwezi kujihusisha na DICOTA. Plus inawezekana DICOTA ina nia na malengo mazuri lakini naamini kuna watu fulani wameingia kwenye uongozi wa DICOTA ambao hawana nia nzuri na wataivuruga sana hiyo DICOTA! Kama mnaweza kuwatoa muwatoe. Lakini hayo ni maoni yangu tu, you can ignore me as I'm not a part of "Educated Elite" ??? So funny!.......?? Btw, wale walio wasema Bungeni ni wanachama wa Chadema sio mimi naomba ieleweke hivyo.

"Ni kati ya achievement ni kubwa kuliko hayo ma-PhD unayo yasema"! Hayo ni maneno yake mzee Dr Lennard Tenende kuhusu mkewe. Wow! What a humble man! Yani mwingine angekazana kusifia hayo ma-PhD yake wee mpaka mngekoma, Wahaya mpo? ?? Dr. Mwakasisi umemsikia mwenzako ?? ............. Halafu nyie wadada wa 21st century mnaona wazee wetu walikuwa hawaangalii kama umepaka poda, wewe kwenye mchaka mchaka akaona mdada mrembo wa kuoa! Sasa nyie poda mnapaka na editing juu halafu ndoa baada ya miezi 6 imekwisha ?? Stop being so fake, let the man fall in love with your heart and character not your makeup and lipstick ??............... Nimeona. Mzee Tenende amekuwa emotional kidogo kuhusu kuwa na watoto wengi,  amesema kitu ambacho Vivica Fox alisema kwa Oprah (SomaHapakuwa anajutia kutokuwa na watoto, kama angelijua angezaa hata watano! It really got me thinking ??....... nice interview!

Cheka urefushe maisha yako!

 "Karibu uraiani Sanjay ?? (Ni hali tu wote tutayapitia nitaingia mimi nitoke Sunil Sheti) #SioHabari"

??? Nacheka siyo kwamba mazuri but the "humor" is so for really! ?? Yani huyu Idriss is a true Comedian, mtu ambaye anaweza geuza kitu cha huzuni kuwa chakawaida mpaka kuchekesha, then in the end unabaki unajiuza kwa kina about life! Like kumbe Manji asingekuwa na pesa ndefu ni mkaka/baba wa kawaida sana, then unajipa moyo kumbe hata mimi si mbaya "pesa ndio kidogo na matumizi ni mengi" in Akothee Akothee's voice ??  huyo ni comedian mzuri sana!